Tangu tukiwa watoto tumekukuwa tukisisitiziwa suala la uvumilivu. Wenzetu wa magharibini wanasema Patience.Naam,vumilia kila aina ya majaribu utakayokutana nayo hapa duniani. Ni mengi.Jua linapochomoza yapo.Jua linapozama yapo.
Lakini kama kuna ambalo linahitaji uvumilivu zaidi basi ni suala la mapenzi.Unahitaji zaidi ya uvumilivu.Unahitaji imani.Unahitaji akili na uweza wa tofauti kidogo.Ni changamoto ngumu zaidi.
Huu hapa ni wimbo wenye maudhui hayo hapo juu.Unaitwa Vumilia. Ni kutoka kwa John Rodgers,Shilah na Davizo.Wote hawa ni kutoka jijini Arusha.Kuleee kwa machaliii.