“Sina Kinyongo”-Salum Simba “Twaha” (BrAnD New)
Kuna mwanamuziki aliwahi kuimba penzi la kweli halikosi wivu. Na mwingine akasema penzi ni kama kikohozi.Huwezi kukificha. Katika wivu na mapenzi, panaweza kujitokeza kinyongo. Kwenye vinyongo kuna...
View ArticleTizama: “Atabadilika”-Lameck Ditto (Video Rasmi)
Lameck Ditto-Atabadilika Kama umewahi kupenda, unajua maana ya “kubadilika”. Alivyoanza sivyo alivyo. Alichosema ukikikumbuka unashikwa na butwaa. Akili inapwaya kama vazi lisilo lako. Lakini bila...
View ArticleTizama: “Najiuliza”-Chege Ft. Ray C & Sanaipei Tande
Ingawa Chege Chigunda ndio anaongoza jahazi la wimbo huu, ni jambo la furaha kumuona Ray C akirejea. Najua alisharejea lakini ninachokiona kwenye video hii ni mrejesho kamili zaidi. Watizame wakiwa...
View Article“Wale Wale”-Shetta (Latest)
When I first met Shetta a couple of years ago, he was an underground artist.It was on location shooting a video for one of Professor Jay’s songs. At the time, I was managing Jizze. Shetta is one of...
View Article“Naogopa”-Q Chilla (Official Release-NeW)
Tukisema tuongelee wanamuziki wenye vipaji vya kweli vya kuimba nchini Tanzania, hakuna shaka kwamba Q Chilla hatuwezi kumuweka kando. Zamani aliitwa Q-Chief na uwezo wake ulikubalika na pengine...
View ArticleListen N’ Download: “Dede”- Chris Wamarya (BrAnD NeW)
To become a successful artist you need a couple of things. You need to have a talent. You need to be unique. You must be or want to become the hardest working artist in a showbiz. You need a good...
View ArticleListen N’Download: “Usmart”- Dii Mavoice (BrAnD New)
Umaridadi huficha umasikini. Neno ni “huficha”. Hauondoi umasikini au ufukara. Lakini kwa sababu kila mtu ana siri yake moyoni, na wewe unabaki na ya kwako. Unaruhusiwa. Dii Mavoice anaelekea kuunga...
View ArticleHata Sielewi Lakini Naamini Unahitaji Kuiona Hii Video
Huku nikiwa tayari nimeanza kuweka sawa orodha ya Nyimbo 20 Bora Na Zilizotamba Zaidi Kutoka TZ, MwanaFA akishirikiana na Maua Sama yaelekea hawana mpango wa kunirahisishia kazi. Hata Sielewi kwanini...
View ArticleDiamond Platinumz Has A Point To Prove In Toronto. He’s Ready!
The last time he was in Toronto, things didn’t go as planned. The stars were not in favourable conjunction, condescending to prove a different narrative. There was a new promoter who tried to chew...
View ArticleNEW: “Ni Wewe”- Ommy Dimpoz
Somewhere in 2018, news spread that Ommy Dimpoz (real name Omar Faraji Nyembo) was sick. He was seriously ill. As per usual, nowadays, the social media was lit with prayers and well-wishing posts. It...
View Article