Quantcast
Channel: Bongo Fleva – Bongo Celebrity
Browsing all 180 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“UTU UZIMA DAWA”-NAKAAYA

Sijui kama nikisema baada ya kimya cha muda fulani Nakaaya is back nitakuwa nimepatia au nimekosea. Kumbukumbu za haraka hazinijii kwamba mara ya mwisho aliachia single lini. Yote tisa. Kumi ni kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“POZO LANGU”-MAX LOPEZ Feat. LINAH (BrAnD NeW)

MAXI LOPEZ FT LINAH-i need you(pozo langu) Huu hapa ni mpya kutoka kwa Max Lopez akiwa amemshirikisha Linah. Wimbo unaitwa Pozo Langu. Usikilize hapo chini Be Sociable, Share! Tweet

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“JIKUBALI”-BEN POL (NEW TrAcK)

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Ben Pol. Unaitwa Jikubali. Kimsingi ujumbe uliopo kwenye wimbo huu ni mzuri. Binadamu unatakiwa kujikubali. Unatakiwa kuwa shabiki namba moja wa wewe mwenyewe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“WANASEMA”-SUMA LEE (SINGLE MPYA)

Suma Lee analia.Kwanini? Ni mapenzi. Anasemwa.Wanamsema. Mambo lukuki. Mapenzi yana machozi.Unashangaa? Hujawahi kupenda wewe. Au unachokipenda hujui kama unakipenda.Unaona kwa jicho la kioo cha lami....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“NIPE NAFASI”-BARIDI -YOU CAN NOW OWN IT

Wapo wasanii ambao bado hawana majina makubwa.Hawa wanahitaji support yako hususani kwa wale ambao wana kipaji.Mfano mzuri ni huyu.Anaitwa Baridi.Single yake ambayo aliitoa mwaka jana inaitwa Nipe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“RIZIKI YANGU”- LINEX Feat.WYRE

Linex ft. Wyre – riziki yangu Hakuna ubishi kwamba Linex ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva wenye kipaji cha hali ya juu katika uimbaji na pia katika utungaji wa nyimbo zenye ujumbe wa tofauti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINACHOMPONZA PRODYUZA TUDD THOMAS NI UCHAWI AU KUSAHAU?

Prodyuza Tudd Thomas. MASHABIKI wa mtayarishaji wa muziki (Producer), mwenye uwezo wa kipekee, aliyetayarisha wimbo wa Leka dutigite wa Kigoma All Stars na zingine nyingi, Tudd Thomas, wamekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“SHANNI NA JENNY”-ABBY SKILLS Feat.CHEGE

Ni muda kidogo hatujasikia kitu kutoka kwa Abby Skills ambaye kwa watu wanaokumbuka enzi zile Bongo Fleva inaanza kushika kasi, mtamkumbuka vizuri. Huu hapa ni wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“KAMA ZAMANI”-MwanaFA Feat. THE KILIMANJARO BAND, MANDOJO & DOMOKAYA (BrAnD NeW)

Huu wimbo ulitoka rasmi wiki iliyopita. Kwa makusudi sikuuweka hewani. Nilikuwa na bado nina maana yangu. Ukiendelea kusoma bila shaka utanielewa. Kila kizazi kina tabia au haki ya kudai kwamba muziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“UMENIPOTEZA”- INNOCENT MKUMBA (BrAnD NeW)

Ujumbe uliowekwa kwenye e-mail iliyoniletea wimbo huu imenisihi kwamba nitoe support kwa wimbo bora wa mwaka. Ukweli ni kwamba unapopokea ujumbe kama huo, unajiuliza maswali kadhaa.Eeenh! Kwanini?...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY C ABATIZWA RASMI NA KUTANGAZA VITA DHIDI YA SHETANI

Bila shaka umeshasikia au kuona mengi kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Ray C aliyewahi kutamba sana kabla ya kutumbukia katika mtego wa matumizi ya madawa ya kulevya ambao hivi karibuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“NUMBER ONE”-DIAMOND PLATINUMZ (OFFICIAL VIDEO)

Uzinduzi wa video hii ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita pale Serena Hotel jijini Dar. Miongoni mwa vivutio vikubwa katika tukio lile ilikuwa ni pamoja na kitendo cha Diamond Platinumz kumkabidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“KAZI”-CHALZ Feat. SHOSTEEZ (NeW TrAcK)

Here is a new release from Fishcrab Records by Chalz Feat Shosteez which is an all female group managed by Fishcrab label which is under Lamar. Listen up   Be Sociable, Share! Tweet

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MR.NICE KATIKA MZOZO MWINGINE!

Nguli wa muziki aina ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda ameingia katika mzozo mzito na meneja wake mpya baada ya kutokukubaliana baadhi ya mambo aliyokuwa akishauriwa na lebo hiyo mpya. Mr Nice ambaye kwa sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“WASIWASI”- BRAND NEW SONG FROM MAD ICE

Mad Ice is one of the artists that come from the generation that championed the Bongo Fleva movement. He is now one the Bongo Fleva ambassadors in Europe as he tends to spend much of his time out...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“NI WEWE”-BARIDI (BRAND NEW TRACK PRODUCED BY SHEDDY CLEVER)

Kuna vipaji na kisha kuna vipaji.Kila siku vinaibuka vipya. Ndio maisha na ndio hali halisi.Upende usipende. Ni mipango ya Mwenyezi Mungu.   Miongoni mwa vipaji ambavyo naviona kabisa ni pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“MONIFERE”- GOSBY Feat. VANESSA MDEE & JUX (B’HITS PRODUCTION)

After Dropping Hot Songs like Everyday, Nafurahije and BMS which recently managed to top charts and be featured on worlds most circulated mixtape “Coast2coast Mixtape Vol 251 hosted by Plies” , East...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“TEMA MATE TUWACHAPE”-MADEE (BrAND NeW)

  Tema mate tuwachape. Kama hujawahi kuambiwa hivyo wakati wa utoto wako,basi ama hukuzaliwa na kukulia Tanzania au umezaliwa kizazi hiki hiki cha .com ambacho badala ya kandambili za kutengeneza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“BASI NJOO KARIAKOO”-ABBY SKILLS Feat ALLY KIBA,SHETTA

Recently in the social networks wars, there is #TeamAllyKiba Vs #TeamDiamond. A lot of jabs are thrown in the bucket. Each corner claims their artist is better than the other one. Of course the “Nani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AY TO TIE THE KNOT SOON? HERE IS “MCHUMBA AKE”

Although other artists from Tanzania are slowly emerging in terms of getting a recognition in other African countries and even beyond, AY has been there and done that. He is one of the most successful...

View Article
Browsing all 180 articles
Browse latest View live