Kama hujawahi kusoma historia ya Vanessa Mdee, unaweza kufanya hivyo hivi sasa kwa kubonyeza hapa. Niliwahi kufanya naye mahojiano kama miaka mitatu hivi iliyopita ambapo alinieleza mengi kuhusu maisha yake. Hapa.
Okay. Lakini hicho sicho ninachotaka kukwambia hivi leo. Vanessa anajiandaa kuachia kibao kipya. Amekipa jina “Niroge”. Naam, anataka umroge. Wewe.