Vanessa Mdee Anataka “Kurogwa”
Photo Credit: Osse Photography Kama hujawahi kusoma historia ya Vanessa Mdee, unaweza kufanya hivyo hivi sasa kwa kubonyeza hapa. Niliwahi kufanya naye mahojiano kama miaka mitatu hivi iliyopita ambapo...
View Article“Niroge”-Vanessa Mdee (Official Video)
Huna haja ya kusubiri zaidi. Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee uitwao Niroge. Wimbo huu umerekodiwa na Nahreel. Reaction yangu ya kwanza ni kwamba video ni nzuri. Pengine nimeshawahi kuiona video...
View ArticleHave You Watched NdiNdiNdi Video?
It’s probably the most talked about song right now. That comes as a no surprise since it’s from Lady JayDee who, without a doubt, is one of the top artists in the land.
View Article“Migulu Pande”-Madee (Audio)
Kuna siku niliwahi kumuulizia msanii fulani wakati wa mazungumzo yangu ya kawaida na Professa Jay(Mbunge wa Mikumi-CHADEMA). Niliuliza, “Hivi jamaa kaacha muziki au?”. Professa akanijibu kwa kifupi,...
View ArticleTanzanian Court Awards AY & MwanaFA 2.18 Billion Tshs In A Landmark Ruling
A court has awarded two Tanzanian musicians Sh2.18 billion in special damages in a landmark ruling that could set a precedent in the application of the copyright law in the country. The huge award was...
View Article“Natafuta Kiki”-Raymond Kutoka WCB
Yaelekea WCB wameamua kujikita kwenye kujipanua na kukuza vipaji. Baada ya kupata mafanikio kupitia kwa Harmonize, sasa ni zamu ya Raymond. Atoke vipi? Kwa kutizama mazingira vizuri. Siku hizi ukitaka...
View ArticleWATCH:”Ibaki Story”-Rich Mavoko (Official Video)
Miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania ambao tunaweza kukubaliana kwamba wana kipaji cha uimbaji, Rich Mavoko hatuwezi kumweka pembeni. Kipaji anacho. Haishangazi kwamba WCB hivi...
View ArticleNew Single Alert: “Mama”-Peter Msechu & Banana Zorro
Peter Msechu & Banana Zorro-Mama Kama ilivyo mapenzi, nyimbo zinazohusu Mama zetu kamwe hazipotezi ladha wala nafasi katika burudani. Bila kina-mama, ulimwengu huu haupo. Unaweza kuzungumzia...
View ArticleRay C Aingia Tena Rehab
Mara nyingi huwa natamani nisiandike kuhusu kuanguka kwa mtu. Sipendi. Lakini kama kwa kuandika kuhusu kuanguka kunaweza kusaidia aliyeanguka au mwingine ambaye asiposikia ataanguka,basi yatubidi....
View ArticleNeW SiNgLe: “Manuari”-Kassim Mganga(Audio)-Produced By Sheddy Clever
Kassim Mganga Sina shaka kwamba Kassim Mganga ni miongoni mwa vipaji vikubwa vya muziki tulivyonavyo nchini Tanzania. Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kazi zake na sasa naweza kusema wazi kwamba...
View Article“Hewala”-Linex Feat. Christian Bella (New Joint)
Linex and Christian Bella are two heavyweights vocalists. One hails from Kigoma. The other is from DRC. He consider Tanzania to be his home for now. Anyone who brings to the land such a talent is...
View Article“Kipenda Roho”-Rama Dee (ViDeO)
Rama Dee is crazily talented. One of the best vocalists. The first I heard him was in Dar. I had got a ride from one of my partners in crime, Othman. Enjoying the rare rides where I get to be a...
View Article20 Percent Kurejea Tena Chini Ya Kombinega Sound
Msanii Abbas Hamisi Kinzasa almaarufu kama 20% (Twenty per Cent) wakipongezana na producer nguli wa muziki nchini John Shariza a.k.a Mann Water baada ya kuwekeana saini mkataba wa kufanya kazi pamoja...
View Article“Matatizo”-Harmonize From WCB(Official Video)
Kila binadamu hukumbwa na matatizo. Kuna ya muda mfupi na kuna yale ambayo huweza kukuandama kwa miaka nenda rudi. Yanaganda kama mdudu ruba. Maisha bila matatizo hayapo. Masikini wana matatizo yao na...
View Article“Sawa”- Shaa (BrAnD NeW)
Kuna kitu ambacho kinanivutia sana kuhusu muziki kutoka kwa Shaa hususani tangu alipoamua kufanya muziki ambao mimi nauita “wa kwetu”. Ni aina fulani ya muziki ambayo naamini kama tungeamua kuipa...
View Article“Waache Waoane”-Chege Ft.Diamond Platinumz
As Friday looms, we thank God it is here. Music is always a great company. The new joint is even better. Talking about new joint here is a new one from Chege featuring Diamond Platinumz. Waache Waoane...
View Article#TBT: “Hii Leo”-East Coast Team
The East Coast Team Leo naanzisha kipengele kipya. Kila Alhamisi nitakuwa natupia nyimbo,video nk kutoka katika harakati za mwanzo za Bongo Fleva/Hip-Hop na pia muziki wa Afrika kwa ujumla bila kusahau...
View ArticleVIDEO: “Natafuta Kiki”-Raymond (WCB)
Hii hapa ni video mpya kutoka WCB kwa msanii Raymond. Wimbo huu unaoitwa Natafuta Kiki ni production ya Lizer Classic kutoka Wasafi Records. Wimbo umeandikwa na Raymond huku video ikiwa ni kazi ya...
View Article“Maumivu”-Esaya
On a daily basis, we receive many new songs/artists requests for publication of their content. I wish I could keep up with everything sent in. I can’t. However, I try to listen to everything sent in....
View ArticleLady Jaydee – Sawa Na Wao (Official Music Video)
Back in the 90s, Judith Wambura emerged as one of few female artists in Tanzania. The “movement” of the new generation music had started. I am not sure if we referred her as “Lady” then. She...
View Article