![https://www.youtube.com/watch?v=SMxzJkBY_Is]()
Ingawa Chege Chigunda ndio anaongoza jahazi la wimbo huu, ni jambo la furaha kumuona Ray C akirejea. Najua alisharejea lakini ninachokiona kwenye video hii ni mrejesho kamili zaidi. Watizame wakiwa pia na mwanadada Sanaipei Tande. Wimbo unaitwa Najiuliza.