NNEW VIDEO: Q Boy ft Rayvanny & Shetta – MUGACHERERE (Official Music Video)
Sometimes I feel like I am loosing my Swahili. There are lots of street jargons and slangs that I am not aware of. Mugacherere could be one of those words. I have no idea what it means. Do I need an...
View ArticleNew JoINt: “Twende Wote”-Steve RnB
Steve RnB is back. Well…he is here once again. It’s like yesterday and the grasses are just as green. On both sides of the fences. He’s shining the light with Twende Wote(literally translation Let’s...
View Article“Muziki”-Darassa Feat Ben Pol (Official Video)
The holiday season is here. In the western world, the lights are on and official trees are at city halls. Holiday season mean everything. After all the year is coming to an end. You Thank...
View ArticleWATCH: “Utanifaa”-Grace Matata (Official New Video)
Kama umewahi kumshuhudia Grace Matata akiwa jukwaani bila shaka unakubaliana nami kwamba she’s a true artist. She’s excellent. Vijana wengi wanaojaribu kuingia kwenye fani ya muziki wanaweza kujifunza...
View ArticleHere Is The Video Everyone Is Talking About
Love life is complicated. You fall in love and walk on cloud 9. Then six feet under seems ideal. Something hit you hard. You rule the roost. Control your destiny. To some the unlucky shots run in the...
View Article“Kaa Nao”-Mwasiti (BrAnD NeW)
Mwasiti is one of the talents. She is a product of Tanzania House Of Talent (THT). They had great programs. I wonder what has happened to the center. I am not aware of any other bunch of artists...
View Article“Kiherehere”-Linex (BrAnD NeW)
Linex ni miongoni mwa wasanii wa Bongo ambao naamini wana kipaji cha hali ya juu. Isipokuwa, pengine hana ile ngekewa ambayo inahitajika ili kupasua zaidi. Bila shaka anaweza kuendesha maisha yake na...
View Article“Usiniroge”-Gitaa (BrAnD NeW)
Hivi sasa kuna mambo mengi sana yanaendelea nchini Tanzania. Na kwa sababu kila kitu tumekibadilisha kuwa siasa au kutizama kila linalojiri kwa kutumia lenzi za kisiasa, chungu kimejaa. Kubwa kuliko...
View Article“Bakari”-Madada 6 (BrAnD NeW)
I know. The weekend was overwhelming. Dodoma tried to change the course of everything. For some hours, we forgot other things. We became like a fish out of water. With everything so tightly attached...
View Article“Wapo”-Ney Wa Mitego | Na Maoni Yangu
Siku hizi kila kukicha kuna tukio au matukio ambayo huvuta hisia. Ni kweli. Viongozi wamebakia kuwa washindania habari za kurasa za mbele. Mbaya zaidi wanatabirika. Hata mtu asiye mnajimu anaweza...
View Article“Sina Kinyongo”-Salum Simba “Twaha” (BrAnD New)
Kuna mwanamuziki aliwahi kuimba penzi la kweli halikosi wivu. Na mwingine akasema penzi ni kama kikohozi.Huwezi kukificha. Katika wivu na mapenzi, panaweza kujitokeza kinyongo. Kwenye vinyongo kuna...
View ArticleTizama: “Atabadilika”-Lameck Ditto (Video Rasmi)
Lameck Ditto-Atabadilika Kama umewahi kupenda, unajua maana ya “kubadilika”. Alivyoanza sivyo alivyo. Alichosema ukikikumbuka unashikwa na butwaa. Akili inapwaya kama vazi lisilo lako. Lakini bila...
View ArticleTizama: “Najiuliza”-Chege Ft. Ray C & Sanaipei Tande
Ingawa Chege Chigunda ndio anaongoza jahazi la wimbo huu, ni jambo la furaha kumuona Ray C akirejea. Najua alisharejea lakini ninachokiona kwenye video hii ni mrejesho kamili zaidi. Watizame wakiwa...
View Article“Wale Wale”-Shetta (Latest)
When I first met Shetta a couple of years ago, he was an underground artist.It was on location shooting a video for one of Professor Jay’s songs. At the time, I was managing Jizze. Shetta is one of...
View Article“Naogopa”-Q Chilla (Official Release-NeW)
Tukisema tuongelee wanamuziki wenye vipaji vya kweli vya kuimba nchini Tanzania, hakuna shaka kwamba Q Chilla hatuwezi kumuweka kando. Zamani aliitwa Q-Chief na uwezo wake ulikubalika na pengine...
View ArticleListen N’ Download: “Dede”- Chris Wamarya (BrAnD NeW)
To become a successful artist you need a couple of things. You need to have a talent. You need to be unique. You must be or want to become the hardest working artist in a showbiz. You need a good...
View ArticleListen N’Download: “Usmart”- Dii Mavoice (BrAnD New)
Umaridadi huficha umasikini. Neno ni “huficha”. Hauondoi umasikini au ufukara. Lakini kwa sababu kila mtu ana siri yake moyoni, na wewe unabaki na ya kwako. Unaruhusiwa. Dii Mavoice anaelekea kuunga...
View ArticleHata Sielewi Lakini Naamini Unahitaji Kuiona Hii Video
Huku nikiwa tayari nimeanza kuweka sawa orodha ya Nyimbo 20 Bora Na Zilizotamba Zaidi Kutoka TZ, MwanaFA akishirikiana na Maua Sama yaelekea hawana mpango wa kunirahisishia kazi. Hata Sielewi kwanini...
View ArticleDiamond Platinumz Has A Point To Prove In Toronto. He’s Ready!
The last time he was in Toronto, things didn’t go as planned. The stars were not in favourable conjunction, condescending to prove a different narrative. There was a new promoter who tried to chew...
View ArticleNEW: “Ni Wewe”- Ommy Dimpoz
Somewhere in 2018, news spread that Ommy Dimpoz (real name Omar Faraji Nyembo) was sick. He was seriously ill. As per usual, nowadays, the social media was lit with prayers and well-wishing posts. It...
View Article