$ 0 0 Hii hapa ni video mpya kutoka WCB kwa msanii Raymond. Wimbo huu unaoitwa Natafuta Kiki ni production ya Lizer Classic kutoka Wasafi Records. Wimbo umeandikwa na Raymond huku video ikiwa ni kazi ya Kwetu Studio