Quantcast
Channel: Bongo Fleva – Bongo Celebrity
Viewing all articles
Browse latest Browse all 180

“JIKUBALI”-BEN POL (NEW TrAcK)

$
0
0

ben pol2

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Ben Pol. Unaitwa Jikubali. Kimsingi ujumbe uliopo kwenye wimbo huu ni mzuri. Binadamu unatakiwa kujikubali. Unatakiwa kuwa shabiki namba moja wa wewe mwenyewe. Wengine watakwambia huo ni ubinafsi lakini mimi naamini charity starts at home. Ukijikubali ni rahisi kuwakubali wengine.

Lakini kwa upande wa mpangilio na jinsi Ben Pol alivyoimba….somehow I am not feeling this song as much as I expected. Ben Pol is one of the good singers we have and it is my humble opinion that he should produce tracks that allows him to showcase his talent. On this one Ben…we can walk miles apart. It’s Okay.

Here are the Lyrics

Verse1;
Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star
Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa
Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako
Usiache jambo Kati kwenye maisha yako
Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay
Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray
Mi Nakuasa it’s your time,
Huwezi kuwa chini you’ve got somethin’ special
Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto
Trust me iko siku utatimiza ndoto yako
You can be a Boss, you can be a Lawyer
You can be the President
You’ll be successful

Chorus;
Wakati wako ndio leo (leo)
Kutimiza malengo yako,
Nakusihi Anza sasa (sasa)
Jishughulishe utapata (rudia mara mbili)

Verse 2;
Utavunja vunja miamba, hamisha milima
Vikwazo lazima nawe usirudi nyuma
You’ll be a hero, you can be the best
You can be a leader (dedicate yourself)
Tanzania ni yako, penda watu wako
Kuwa mfano bora kwenye jamii yako
Star Kama AY , kufika alipo FA
Inawezekana if you work hard in it
Na utafika mbali utazame ulikotoka
Mbunifu mwenye hadhi kama Hadija Mwanamboka
Unaweza kuwa rubani, unaweza Hakimu
Unataka kuwa Salama, unaweza kuwa Hasheem’

(Rudia chorus)

(Bridge)
You can be a champion (Jikubali)
You can be a teacher  (Jikubali)
You can be a leader (Jikubali)
You can be a Preacher (Jikubali)

Download www.hulkshare.com/katongo , LIKE www.facebook.com/samboira , Follow @IamBenPol

 

Be Sociable, Share!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 180

Trending Articles