Suma Lee analia.Kwanini? Ni mapenzi. Anasemwa.Wanamsema. Mambo lukuki. Mapenzi yana machozi.Unashangaa? Hujawahi kupenda wewe. Au unachokipenda hujui kama unakipenda.Unaona kwa jicho la kioo cha lami. Ni kama vile unaona dimbwi la maji hivi lakini kumbe sio. Waliosoma Physics bila kukremu wanajua.
Suma Lee katika wimbo huu naamini anarudi kule kwenye upbeat za ki-Hakunaga kitu ambacho naamini ndicho alichokuwa anatakiwa kufanya au kuendelea kukifanya.
Safi hii…isikilize hapa chini